Mahaba

Mahaba 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量1.4K
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Siku hizi hakuna mahaba Yeah, mahaba Mapenzi ya mkataba Mpaka kufa, yamekwisha Ni neema ukiwa unahema Mapenzi yanachosha, yanafuja raha Nafsi yangu inasema Bora nimpende tu alionizaa Uchungu wa kulia daily Mapenzi yalinifanya nisile Sina kumbukumbu ile Kwamba ulinikosha, no! Uchungu wa kulia daily Mapenzi yalinifanya nisile Sina kumbukumbu ile Yakwamba ulinikosha, no! Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah S'kiza kwanza we dada We dada Mi' sio mgeni alishanikaba Mapenzi yalinikausha Natamani kuwa single Ila nna-upwilu unakaba koo Mabinti wenye vifundo Hao ndio mi' wananitoa roho Na siri juu ya jambo lile Ni kama chakula lazima nile Mi' mbovu sana wa jambo lile Na ufundi wa kutosha, ooh Na siri yake tuu jambo lile Ni kama chakula lazima nile Mi' mbovu sana wa jambo lile Na ufundi wa kutosha, ooh Mwenzako mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza Mapenzi yalinitesa, yalinitupa, nimefufuka, yeah Mi' nilikufa, nikazikwa, nikaoza Mapenzi yalinitesa, nimefufuka, yeah