Mshumaa

Mshumaa 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量15
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Ule ugonjwa ulioniacha nao Bado sijapona Hata mapenzi ulioniacha nayo Yamebaki jina Hospitali ooh Za dunia nzima Nimezunguka kote Wamepima majibu hakuna Hata ngoma sina (sina ooh) Pressure sina (sina eeh) Ugonjwa sina (sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu uzima Naona giza Giza totoro aai Alioo iyoo Nakumiss Tena, tutonana Tena, hata Mungu akipanga leo Tena, nikufe kesho Tena, tutaonana tena Tena, ifike kesho uliamba Tena, waniweke kwa mchanga Tena, nikufe kesho Tena, ali ooh Labda nikukumbushe Nilipokuvisha pete Ulisema machache Hauniachi mpaka nife Maana ngoma sina (sina ooh) Pressure sina (sina eeh) Ugonjwa sina (sina) Jina lako ninalo Uwepo wako Ndo ulikuwa wangu uzima Mi naona giza Giza totoro aai Alioo iyoo Nakumiss, iye iye Tena, tutonana Tena, hata Mungu akipanga leo Tena, nikufe kesho Tena, tutaonana tena Tena, ifike kesho uliamba Tena, waniweke kwa mchanga Tena, nikufe kesho Tena, ali ooh