Wangu

Wangu 歌词

流派Pop
时长3:36
原文语言SW
浏览量254
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Hey, (hmm), sanaipei Hey, nadia (Alexis on the beat) wewe nani? unanipigia simu kama nani? eti niachane na mume wako nani? unajua nadia kweli mi ni nani? weh ni nani? unampigia simu kama nani? eeh ata utoe vya ndani, atarudi hapa kwangu tu nyumbani, eeh anapenda vidogodogo, mwenzako ana vimumunya (munya) mwanamke unapenda zogo tafuta jambo hilo la kufanya (fanya) Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu kubali yaishe, ni wangu Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu mwishowe yataisha, ni wangu hivyo vimeseji na kuficha simu havinishtui (oo-wee) atachoka nawewe (eh), pengine aende (eh), yule hakagui (oo-wee) kelele ya chura haizuii ng'ombe kunywa maji kwangu habanduki kwako hatoboki, nakwama na yeye (kwama na yeye) anapenda wife-material, mwenzako anakudanganya (danganya) mwanamke una kasoro (weh) tafuta jambo hilo la kufanya (kufanya) Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu mwishowe yataisha, ni wangu Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu kubali yaishe, ni wangu mi sitakoma, koma, koma, koma mi sitakoma, koma, koma, mama, eeh n'takukomboa, komboa, komboa, komboa n'takukomboa, komboa, komboa, msichana, weh-ayy Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu mwishowe yataisha, ni wangu Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu kubali yaishe, ni wangu Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu mwishowe yataisha, ni wangu Oh, ni wangu huyu nasema, ni wangu Oh, ni wangu kubali yaishe, ni wangu