African Lover

African Lover 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量9
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Is it true? Umenichagua mimi Kuna fununu Unamuoa yule ah Lemme play the guitar, tubanjuke Tuzunguke mitaa, tuwaalike Harusi itafana, wabambike wale eeeh Isukuti love like Mayonde No stress baby usikonde Forever love nikupende Chini na juu pia upande Isiwe scandals ki Willy pozee Roho inakuuma njoo nikupoze Tupendane ujanani pia uzee All my love I surrender Myself to you, me I render Eka muziki rhumba na benga Chini kwa chini si tutakwenda Tuvume ka Jux na Vanessa Kwenye media together tunatesa 254 si ndo kusema, weehee Let me love you the African way Let me love you like an African lady Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama The African way Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama The African way Hizi kukuru kakara, za nini sasa Achana na wale wagomvi, wanoleta siasa Niambie, nichangie Kama ni nyimbo nikuimbie E zali talo makasi ya bolingo (ya bolingooo) Isiwe scandals ki Willy pozee Roho inakuuma njoo nikupoze Tupendane ujanani pia uzee (uzeeni) Tuvume ka Jux na Vanessa Kwenye media together tunatesa 254 si ndo kusema, weeehe Let me love you the African way Let me love you like an African lady Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama The African way Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama The African way Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama Nikuite papa, unaniita mama The African way