Like an Angel

Like an Angel 歌词

专辑Ya...
年份1998
流派Pop
时长4:29
原文语言SW
浏览量495
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
analiya disiwe mume wake ajali haina kinga wala kafara anaenda kijana maladi inamushinda ana aca bibi na mutoto mudogo mwanaume analala kimya like an angel mbele ya kufunga maco alimwambiya: "bibi yangu unisamehe ju sina mali ya kukuaciya mungu akulinde like an angel" mawa ju kijana ule anaenda huruma mawa oh ! maliyo ! sheria ya mungu mama hayijulikane ajali haina kinga wala kafara : "kwaheli mpenzi wangu wende salama lala...like an angel like an angel"