Damu ya salaam

Damu ya salaam 歌词

专辑Ya...
年份1998
流派Pop
时长4:42
原文语言SW
浏览量588
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
tangu iraki mpaka amerika wako karibu yakufunga vita mi mama mzazi nauliza ni nani ata linda watoto wetu bwana hussein anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu mimi huyu nakosa njiya yakusikika kwa wakubwa kwa hakika tulijioneya vita ya kwanza ilizala fitina bwana hussein anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu nakata matumaini ju kwa vile naona wakubwa hawajali macozi ya mutu mudogo analiya wake siraha ya amani ilikuta kwake mr.clinton anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu mr.clinton anasema: "nataka salaam" mi si aminiye neno ile damu yaliyo mwangiwa ni ya wadogo na watoto tu