My Queen

My Queen 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量16
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
You are my queen Nimekupa moyo wangu uutunze Safari Ukiniacha sina raha hata punje Maana, midunia inachanganya changanya Hususan mapenzi mama Mambo ya kushare hayana maana Mama mama Mara ushikwe kule, uteseke Mara ushikwe pale, unyanyaswe Unavyochezaga mama ma Raha napataga kwa sana na Unavyokataga mama Utamu nasikiaga kwa sana Unavyochezaga mama Kigoma, Mtwara ulindi Mtwara tukamwone bibi Tukale futari ama gimbi Ushanidindindi kwako zaidi ya pimbi You please don't go hey Unanipa raha anytime You please don't go hey Unanipa raha you are mine Sio wachalizo wa Tabata Unanipa ile kitu nataka Mtoto hizo lips matata Ushanikamata wazushi watafyata Unavyochezaga mama ma Raha napataga kwa sana na Unavyokataga mama Utamu nasikiaga kwa sana Unavyochezaga mama Nimekubali we ni noma Na mapaka shume wataisoma Watafurahi wakikuona baba na mama Nimekubali we ni noma Na mapaka shume wataisoma Maana kilometa akikuona Atafanya bonge la sherehe Unavyochezaga mama ma Raha napataga kwa sana na Unavyokataga mama Utamu nasikiaga kwa sana Unavyochezaga mama