Darau (feat. Harmonize)

Darau (feat. Harmonize) 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量193
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Mmm Ah Kombo crush Chinga again Is konde music worldwide Eh awo Chibi Mungu alonipa ukilema hawezi ninyima mwendo Na sikupanga imenibidi kulivua pendo Maana mwanzo nilidhan utabadilika Of course hakuna aliyekamilika Saa masiku miaka imekatika Nachukia kujiona nikilalamika Bora ugali dagaa kwenye amani Kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi purukushani Kama unajiona kichwa shingo nani Mi sipendi dharau Manyanyaso Dharau Masimango Dharau Manyanyaso siwez siwez Dharau Manyanyaso Dharau Masimamango Dharau Manyanyaso siwez siwez Yeah Mi nilidhurumu nafsi Kujikirikisha nikiamin mi mtu wa mtu Kumbe bora ningechuku chuku aaaah kidogo ningefanya utukutu Moyo ndo ulikupa nafsi Chakusikitisha nachoambulia maumivu tupu A bora ningechukuchuku aaah kidogo ama ningewapa wakifanye supu Kwako nilikuwa nyendo sina Nikijuaga my destiny Sina wa kumtunzia heshima Kama hata we nitashindwa kukuthamini Ni kweli utakwenda mazima Japo itakuwa ngumu kuamini Nitamisi michezo ya mama amina ya kucheza kwa kuburuza ulimi eeih Mapenzii uliyonipa weee Wallah mi sikutamani mwingine awe wa kiapo Mwenzangu umebadilika weeeh aaah japo mi nakupa utakacho Bora ugali dagaa kwenye amani kuliko wali nyama vitani Mateso vitimbwi aah ndo mana hatuendi we Dharau Manyanyaso Dharau Masimango Dharau Manyanyaso siwez siwez Dharau Manyanyaso Dharau Masimango Dharau Manyanyaso siwez siwez Yao yao Dharaaau Manyanyaso manyanyaso Eieh Konde boi call mi no 1 bakhresa