Muongo

Muongo 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量2
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
This is Barnaba Boy Classic Mocco Genius, Naa (Mocco) Masikini mimi moyo wangu pasu pasu Kwani nilivyompenda singefanya machafu Penzi kanichimba chimba kama viatu Yaani bila huruma akatupa na watatu Kwake niliwekeza upendo Ye hakuwa na malengo Penzi akaweka na pengo Kupenda shida kabisa Kama mtu kung'oa utumbo Akapunguza upendo Akaninyima na tendo Nifanye nini nimechoka? Raha ya kitandani, muwe wawili Mgusane gusane yenu miili You lie me everyday Kumpenda kosa jamani Akanifanya hayawani Kwa kuniacha njiani Masikini kumbe penzi langu bure Muongo, muongo, muongo Kumbe muongo Muongo, muongo, muongo Kanisave kaka eh Muongo, muongo, muongo Visa biza bina wanichora Muongo, muongo, muongo Kumbe muongo Aaah, aah, aah Acha kulilia pendo maana ushenzi Kila siku wanazaliwa dada Wanazaliwa kaka Ridhiki mafungu saba Ikizidi na nne bahati Na bahati hujaga kwa nyakati Walahi Kwake niliwekeza upendo Ye hakuwa na malengo Penzi akaweka na pengo Kupenda shida kabisa Kama mtu kung'oa utumbo Akapunguza upendo Akaninyima na tendo Nifanye nini nimechoka? Raha ya kitandani, muwe wawili Mgusane gusane yenu miili You lie me everyday Kumpenda kosa jamani Akanifanya hayawani Kwa kuniacha njiani Masikini kumbe penzi langu bure Muongo, muongo, muongo Kumbe muongo Muongo, muongo, muongo Kanisave kaka eh Muongo, muongo, muongo Visa biza bina wanichora Muongo, muongo, muongo Kumbe muongo