Chausiku (feat. Vanessa Mdee)

Chausiku (feat. Vanessa Mdee) 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量3
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Laisse-moi tranquille Je veux pas ! Eehe, vidonge kumeza na soda Eehe, jinsi utinge na moka eeh (Ni ushamba) chunga mdomo Hujaulizwa we unaropoka eeh Kumiliki buku huku kuliotaga ghorofa eheh Mumeo nimelala ndani we unataka toka Ebo! Maisha yangu nimezaliwa Tandale Nyumbani Mtugule sikufundwa mkule Ndo maana Nyumbani kwetu lazima limbwata Na tamaduni zetu mwiko kutoa talaka Ata mimi nyumbani kwetu vimini wanakataza Kwenda kwa miziki mixer vibao kata No no noo, no no no Chausiku baby Una majina mengi Maana unapendwa na wengi Ebo!, nimejichanganya Upendo si kitu baby Maana waongo ni wengi Usije niacha stendi Iyeeh, utanichanganya Chausiku baby (utajijua) Una majina mengi (I don't) Maana unapendwa na wengi Ebo!, nimejichanganya Upendo si kitu baby (jifikirie mama) Maana waongo ni wengi (mimi mtoto wa sheikh) Usije niacha stendi (no no) Iyeeh, utanichanganya Heri ya mimi kanda mbili wewe kata mbugaa Unajitia mwema baba (oh no no no no) Kumbe sio mwema kakaa Juzi ulifumwaga na Rozi Yule muuza vipodozi (ooh no no) Mke wa kinyozi (oh no no noo) Wananizushia, uhuni kwetu mwiko Mimi mtoto wa sheikh (maskani maadrasa) Tumezaliwa mtaa mmoja, nakujua (isiwe sababu) Umechafua mtaa mpaka wauza vitumbua (no no noo) Tumalize mzizi wa fitina nimezama kwako Unanisaidiaje, eheh Nyumbani kwetu lazima limbwata Natamaduni zetu mwiko kutoa talaka Ata mimi nyumbani kwetu vimini wanakataza Kwenda kwa miziki mixer vibao kata No no noo! Chausiku baby (utajijua) Una majina mengi (I don't) Maana unapendwa na wengi Ebo!, nimejichanganya Upendo si kitu baby (jifikirie mama) Maana waongo ni wengi (mimi mtoto wa sheikh) Usije niacha stendi (no no) Iyeeh, utanichanganya Chausiku baby (utajijua) Una majina mengi (I don't) Maana unapendwa na wengi Ebo!, nimejichanganya Upendo si kitu baby (jifikirie mama) Maana waongo ni wengi (mimi mtoto wa sheikh) Usije niacha stendi (no no) Aaaah Maruwe ruwe kichwa kimepagawa dadaa, pagawa dada Nimeugua we ndo dawaa, we ndo dawa Unenepe ukonde yote sawaa, yote sawa Utafute vidonge mi sio dawaa, mi sio dawa Aah ooh, yeiye baba!