Natiririka

Natiririka 歌词

流派Pop
原文语言SW
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Sina nguvu ya kuleta matala Mi kwako fala Sijiwezi hata kidogo We nipige hata kwenye hadhara Mi bado fala Sikuachi hata kidogo Nimesimama nakupenda peke yako Nilikula ujana Ila kwako nimefunga kwato Kamwambie na mama Kwamba mimi ndo mpenzi wako Waharibu ndugu lawama Penzi letu kuligusa mwiko Natiririka (iyee) Natiririka mama natiririka Uzani umezidi wa wa kilo (kiloo) Natiririka Natiririka mama natiririka Maji ya shingo yamenifika Natiririka Natiririka mama natiririka Yamenifika (ooh) Natiririka Natiririka mama natiririka Ananipa nacho taka ndo maaana Simba nimekuwa farasi mnyonge Bouncer anaepelekwa puta na mende Yuko wapi mganga wako niende Nataka nimpeke zawadi kilinge atulie Na nilikuwa mkata Ila kwako kidomodomo Nimekataa nimekataa Na nilikuwa matata Ila kwako mtoto Natamba natamba Nimesimama nakupenda peke yako Nilikula ujana Ila kwako nimefunga kwato Kamwambie na mama Kwamba mimi ndo mpenzi wako Waharibu ndugu lawama Penzi letu kuligusa mwiko Natiririka (iyee) Natiririka mama natiririka Uzani umezidi wa wa kilo (kiloo) Natiririka Natiririka mama natiririka Maji ya shingo yamenifika Natiririka Natiririka mama natiririka Yamenifika (ooh) Natiririka Natiririka mama natiririka Ananipa nacho taka ndo maaana Natiririka natiririka Mama natiririka Mzani umezidiwa kilo kilo Natiririka natiririka mama natiririka Maji ya shingo yamenifika natiririka Natiririka natiririka mama natiririka Ananipa nacho taka ndo maaana Punguza dozi utakuja niua mwana wa mwenzio Unanipeleka mperampera