Mateka

Mateka 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量7
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Ooh mama yeah Ooh mama yeah Yeah, yeah Kanilambisha limwata, nisikule Nahisi kama nadata eeh, msukule eh Na moyo wangu unawasha, upelee Napuliza nakung’ata eeh, panya buku Upendo umevuka kina Nina wivu mpaka roho inauma Iwe Japani au China Weka gundi baby tutagandana eh Supu ukitia nazi utaharibu Kidole niweke pete, tuwe karibu Kisha tukawasalimu Bibi na babu, babu babu babu Watupikie mihogo Tunywe mbege tukacheze sindimba Ndege limetua kwenye mti wangu Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Nimeridhika hayuni wangu Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Mlango nimepata kufuli wee Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Hapa mwisho wa ujeuri yee Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Ndoto yake ilikuwa kunipata Alivyonipata sindo akanipa Alivyonipa nikashangaa nadata Nikazama mazima Wa kwangu mwenyewe Huyu, huyu, huyu, huyu Nimempenda mwenyewe Huyu, huyu, huyu, huyu Wa kwangu mwenyewe mwenyewe Huyu, huyu, huyu, huyu Punguzeni vimbembele Huyu, huyu, huyu, huyu Supu ukitia nazi utaharibu Kidole niweke pete, tuwe karibu Kisha tukawasalimu Bibi na babu, babu babu babu Watupikie mihogo Tunywe mbege tukacheze sindimba Ndege limetua kwenye mti wangu Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Nimeridhika hayuni wangu Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Mlango nimepata kufuli wee Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Hapa mwisho wa ujeuri yee Nimetekwa mateka (ah, ah, ah) Nimetekwa mateka Huyu, huyu, huyu, huyu