Mtamu

Mtamu 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수17
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Aah! Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezaga Ila tatizo naona aibu Style zote paka za kuvunja chaga Naziweza ila paka niwe na vaibu Basi ngoja kwanza ninywe kidogo Nikilewa ndo nakuwa mtamu Oya ngoja ninywe kidogo Nikilewa ndo nakuwa mtamu Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi Nipe japo hata kidogo nichangamshe body Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi Nipe japo hata kidogo nichangamshe body Haya! Ndo maana unaona kama mi nakuzingua Tatizo sijapata dawa dawa Ngoja nipate hata moja bia Ntakupa vitu yaani paka utapagawa Afu kama unabisha nipe kidogo nionje Mi stimu yangu shisha, ganja na pombe Mwili ukipata stata kwenye bedi usiombe Haunipati kwa mkongo ata ukinywa vidonge Basi ngoja kwanza ninywe kidogo Nikilewa ndo nakuwa mtamu Oya ngoja ninywe kidogo Nikilewa ndo nakuwa mtamu Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi Nipe japo hata kidogo nichangamshe body Mwenzako hivihivi nakuwa sinogi Nipe japo hata kidogo nichangamshe body (wewe!) Haya dada tikisa kario kario kario kario kariakoo Wasio kuwa na wenye ngongingo warushe roho Wee dada tikisa kario kario kario kario kariakoo Wasio kuwa na wenye wowowo warushe roho Haya sasa nitikisie maboga Nitikisie mamboga mboga Nitikisie maboga Nitikisie mamboga mboga Hamisi chacha kaona paja kadata Sa shobo za nini wakati nimekuacha Hamisi chacha kaona paja kadata Sa shobo za nini wakati nimekuacha Staki mishobo na wewe mi mwenzako Stakiii mishobo na wewe mimi akuu Staki mishobo na wewe