Umenifunza

Umenifunza 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수79
가사 좌표

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
18
Ulo mpata anaupiga mwingi Sio siri umenawiri Rangi mashallah kampe hongera zake Bato siwezi amenzidi vingi Mwenzangu tajiri Mi kapuku mlala njaa aah! Sijafika level zake Mi hali yangu pangu pakavu Riziki yangu ndondondo Nilicho jaliwa malavudavu Ila kipato ndo mchongo Mwenzangu kanizidi ubavu Mi kijiti ye nondo Ningewazeje kutoa madafu Wakati mi mpera si uongo Lakini nimemisi nimemisi kukuona kwangu Yalaiti nami Mungu angenipa fungu langu Labda usinge chitiii Kama muhuni ningekuwa na vyangu Ila atabariki nami Mungu atajibu maombi yangu Ila umenifunza umasikini mbaya Umenifunza umasikini mbaya Umenifunza umasikini mbaya Umenifunza umasikini mbaya Na huyo ulompata usimuache Maana anakupa nilivyovikosa mimi Mungu awabariki fungate Muwe wahalali awaepushie kuzini Wala mwambie asikuchape Aku! Mbona siku kuchapa mimi Na we ujeuri uache Mpe sifa mama uchunge yako ndimi Siwezi sema nimesusa ntakuwa muongo Kama ikitokea fursa mi bado niko singo Hamu mwenzako kimejaa kichupa pakumwagia songombingo Nisamehe ka mstari na uvuka Maji yamenifika kwa shingo Maana nimemisi nimemisi kukuona kwangu Yalaiti nami Mungu angenipa fungu langu Labda usinge chiti kama muhuni ningekuwa na vyangu Ila atabariki nami Mungu atajibu maombi yangu Ila umenifunza umasikini mbaya Umenifunza umasikini mbaya Umenifunza umasikini mbaya Umenifunza umasikini mbaya