Baki na Mimi

Baki na Mimi 歌詞

アルバムTeipa's Tales
年2022
ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数8
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Ni vampK 254 Mhh Kukutazama, Ukitabasamu Nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka We ndo kitabu, Mi ndo kalamu Niliumbwa kwa ajili yako, Kama masai na Rubeka Ninatamani ningewa yako mavazi Nikusitiri nikuguse Kila wakati Ungewa stew ama kasupu ka mbaazi Ningewa sembe Mokimo ama chapati Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Kamba za viatu babe, mi nikufungie (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba, utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba, Utapona nna tiba mamaa Nakama ungewa, mwanasiasa, ninge piga kampeni zako Nikusifie, kwa giza na mwangaza, mpaka kwa maadui zako Nitakubusu bila woga hadharani Ili wajue wewe ndo wangu mwandani Ungewa kijiko lazma ningewa sahani Kututenganisha Hilo haliwezekani Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie Na ukichoka, nikubebe, wivu wasikie (Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani (Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba, utakopa ntalipa mama (Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani (Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba, Utapona nna tiba mamaa