Tenga

Tenga 歌詞

アルバムTeipa's Tales
年2022
ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数9
歌詞座標

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
18
Bibli bam bam bam bam Nilipokwona Jana, ukipita umevutia Nilibaki nimeduwaaa Umbo lako mamii, Linanipa kiungulia Ungewa nguo ningekuvaaa Nyuma una bonge la ndoo, mum shikamo Napenda kucheki ukinyonga hiyo Ukitembea chwani chwani Masoo, I need to know Umetosheaje kwenye toja hiyo Sura shepu na tabia, na nutritious ka Dania Na ingewa sufuria Ningekuwa mwiko Ulivyoshona jumuia, Kitoweo kwa sinia Ukinipa ntabugia, Kama komba mwiko Tenga (wamlabez wamnyonyez, Wine Kama Sio yako umepewa) Tenga (wine pande. Wine shiothee, Ka unahepa msako umelewa) Tenga (usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya kupost Fb) Tenga (sahau masaibu, Zikishika tufike gheto nikupe KiHB) Tenga Tenga Unavyosakata dansi Mwili mpaka nafsi Zinakufa ganzi Kama nyasinyasi Zanigwara Hadi nafurahi, ooh nafurahi Urefu wangu was farasi Nitakupa banzi Tamu ka nanasi Moto Kama basi Ndefu Kama ngazi ukidai, ooh ujidai Uko hot ka solar Strong ka mollar Soft ka rollar, yaani conc ka collar Calm ka baller Expe ka dollar Sick is Ebola Wanakupenda ka Ocholla Sura shepu na tabia, na nutritious ka Dania Na ingewa sufuria Ningekuwa mwiko Ulivyoshona jumuia, Kitoweo kwa sinia Ukinipa ntabugia, Kama komba mwiko Tenga (wamlabez wamnyonyez, Wine Kama Sio yako umepewa) Tenga (wine pande. Wine shiothee, Ka unahepa msako umelewa) Tenga (usiwe na aibu, tingisha wapate kitu ya kupost Fb) Tenga (sahau masaibu, Zikishika tufike gheto nikupe KiHB) Tenga Tenga