Nisamehe

Nisamehe 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量76
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Kukuhini kusiokwisha Kumeangukia pemani Roho yanidadarika Kashantoka shetwani Nimeumbiwa makosa Mwanadamu na mimi Moyo umekunja ndita Nakumiss jamani Ngumu safari Nlifanya njiani ushukie eeh eh! Ukakosa seat Mmiliki gari lako mwenyewe eh! Nikajiveka mashati Nikajiona me ndo mie eeeh eh! Kweli mbaya halisi Na wema hakosi eeeh eh! Nisamehe nisamehe Nisamehe nisamehe Eeh! Chozi dibwidibwi Nachanganyikiwa Na vilio sishikiki Niko magharibi Lizamapo jua Wewe upo mashariki Zawadi vipochi Vijuisi vipipi Nazimiss chocolate Nimekoma dear Nilivyonyongea Huba zako sizipati Tabibu Kunikomesha umepata Toto la kitanga Sababu Umeichoka jeuri yangu Ya kipemba Lile gubu Limeniisha kabisa Baby hali nanga Aibu Wananicheka wajinga Rudi nakuomba Ngumu safari Nlifanya njiani ushukie eeh eh! Ukakosa seat Mmiliki gari lako mwenyewe eeh eh! Nikajiveka mashati Nikajiona me ndo mie eeeh eh! Kweli mbaya halisi Na wema hakosi eeeh eh! Nisamehe nisamehe Nisamehe nisamehe Eeh! Nikikaa nawazaa Nimuingie kwa style gani Nimlilie Niseme nna mimba Kasahau tshirt nyumbaani Nashindwa kujizuia Uvumilivu unanishinda kwanini Nikimpigia kusudi zake Na akipokea Eti haloo wewe nani? Iih! Iih! Na namba kakupa nani? Mara oooh kumbe wewe Unafanya issue gani? Siku hizii ih! Me msanii anajua Ina maana hanioni? Kwenye TV ih! Aah! Aih wewe! Aah! Aih wewe!