Kazi Iendelee

Kazi Iendelee 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量6
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Paukwa pakawa leo nna hadithi Nataka kusimulia nataka kusimulia Ilikuwa sawa kumbe kuzaliwa binti Leo mi najivunia, leo mi najivunia Alianza umakamu Ni kubwa yake nidhamu Katiba ikamlazimu Kuingia madarakani Jina lake (Amba) Samia Hassan Suluhu (Amba) Ndo Rais wangu (Amba) Ndo Rais wa Tanzania Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Kazi iendelee Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Kazi iendelee eh, eh, eh Ee Mola! Wakimtoa imani mpe nguvu na ujasiri Mkumbushe yeye nani Yeye ni mama kamili Harambee Harambee Mama tumpambe Anaweza mama Anaweza sana Jina lake (Amba) Samia Hassan Suluhu (Amba) Ndo Rais wangu (Amba) Ndo Rais wa Tanzania Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Kazi iendelee Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Aiyolela (Amba) Kazi iendelee