Unanichukia

Unanichukia 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量4
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Mhh upepo uvumao mashariki Unipepee kwa magharibi Na roho iponee Labda ungesema kwa lipi ambalo sikufai Na ukipata muda uje unione Nimezana meli feli, shilingi inaelea aah Au ule ujazo wa bahari umeshapungua Kule kunipumba pamba kwa zawadi Kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya Panapo majaliwa Siku tukija tena kuonana Usisite kunisalimia So kimya kimya kama mabubu ah tunapishana Najua unanichukia Ahh unanichukia ooh Najua unanichukia Ahh unanichukia, unanichukia ooh Macho yatazama mbali Ila mi sioni mbele ukungu Katu wa moja habebagi mbili Hua nachekaga usoni, ya moyoni anajua Mungu Nimezana meli feli, shilingi inaelea aah Au ule ujazo wa bahari umeshapungua Kule kunipumba pamba kwa zawadi Kujitumisha vimeseji, ahh mapenzi mabaya Panapo majaliwa Siku tukija tena kuonana Usisite kunisalimia So kimya kimya kama mabubu ah tunapishana Najua unanichukia Ahh unanichukia ooh Najua unanichukia Ahh unanichukia, unanichukia ooh