Na Enjoy

Na Enjoy 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量4
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Yeleleleo yeleleo mama Yeleleleo yeleleo mama Kanguo kamtumba na kapafyumu kwa mbali Mnaaanza maneno, neon waja mna nyingi shari Sijafungua kiwanda, mi mjasirkamali Hamuishi wanganga, mwaka huu vitawapanda visukari Ooh, ooh Atiii ndugu, lilia bahati Utajiona we mrembo, uuitwe queen, usihongwe hata bati Atiii mnayoomba hayanipati Siogopi, Mungu wangu yu makini, ananijibu kwa wakati Yeleleleo yeleleo mama Ahh na enjoy Yeleleleo yeleleo mama Sitaki stress aka naenjoy Ooh mama wee, niacheni nienjoy Shida haziishi sasa bwana neenjoy Binadamu binadamu, nawaita mara tatu Ata nyota ndogo alisema kuna watu na viatu Wale wa kujipamba sana wawe watu mbеle za watu ooh Tuulizeni sisi, wanaroho za chatu Pili pili ya shamba ya wawashi nini (apo chacha) Eti sawa nadanga, siwadangii nyinyi (hahaa) Mkipandisha mapanga, mimi sishushi chini (mxiiieww) Nnalolimudu, nimuachiе Mungu kwanini Ooh, ooh Atiii ndugu, lilia bahati Utajiona we mrembo, uuitwe queen, usihongwe hata bati Atiii mnayoomba hayanipati Siogopi, Mungu wangu yu makini, ananijibu kwa wakati Yeleleleo yeleleo mama Ahh na enjoy Yeleleleo yeleleo mama Sitaki stress aka naenjoy Ooh mama wee, niacheni nienjoy Shida haziishi sasa bwana neenjoy