Intro

Intro 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量2
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Have you ever been in love? Umeshawai kumpoteza umpendae Ushawai kuchagua wakati ya ajira yako na mapenzi Ushawai kujichukia na kujiona hufai Kwenye haya maisha kwa ajili ya mapenzi Kumbuka hakuna ukingo mpaka mwisho wa pumzi yako Na unaweza kuanza upya mda wowote Kwa sababu kila mwisho wa jumapili Ni mwanzo wa jumatato Usiogope kuanza upya Money Mondays