Hawajui

Hawajui 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量4
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Nahreel wussup wussup wussup wussup Hamjui tu nyie Alichonifunza mama Na, na ndiyo maana Hamuishi kutukana Kila kitu majaliwa kupata nimebarikiwaga Nini tilalila usiku mchana unabwabwaja Kwako mi mpira unanicheza unavyotaka Kila siku beki leo kipa nimekudaka We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi, zogoa zogoa Kila siku zogoa zogoa Ukilala zogoa zogoa Hamjui tu nyie Alichonifunza mama Na, na ndiyo maana Hamuishi kutukana Choko choko ndiyo mambo mliozoea Kuweka vigenge na makundi mkiniongelea ah, ah Eti naringa, nikishinda mnavimba Hamuishi kuniwinda Mungu ndiyo ananilinda We mwanadamu gani uliyekosa aibu Kunisema kwa ubaya Na ukiapa kwa Mungu Huishi, zogoa zogoa Kila siku zogoa zogoa Ukilala zogoa zogoa Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na, na ndiyo maana Hamuishi kutukana We mwanadamu gani uliyekosa aibu Huenda kuna kosa nieleze kilichokusibu Huishi, zogoa zogoa Kila siku zogoa zogoa Ukilala zogoa zogoa Hamjui tu nyie Alichonifunza Mama Na, na ndiyo maana Hamuishi kutukana