歌词坐标
EN原文歌词
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
nimempata pata, msichana mmoja
jina lako ni nani?
yeye ni afande
nataka nikujue mi
umetoka wapi
mbona afande we murembo sana
naomba unishike mimi
unihukumu afande
unihukumu kifungo
kifungo cha maisha
nitie pingu afande
nikuhumu na upendo wako
eh, afande
nataka unihukumu mimi
samahani afande
jina lako ni nani
samahani afande
jina lako ni nani
hata kama ni kifungo
nataka unifunge
nataka unihukumu mimi
kifungo cha maisha
nitie pingu afande
unifunge kingu cha mapendo
nimempata pata, msichana mmoja
nani?
jina lako ni nani?
yeye ni afande
jina lake afande






