Huku

Huku 歌词

年份2018
流派Pop
时长3:35
原文语言SW
浏览量1.3K
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Iyo, iyo iyo Iyo, iyo iyo Sho, Madjozi Kwani unataka Madjozi ade ama nini Niahiambe aliki Mbona mwataka nasema napenda lakini Yeye haniambii Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi Kini hanisikii Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba wewe unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Sasa ukiniona na watu unakasirika Roho inakunjika Usiku uliniona natembea na arayika Kini hukuniita Mpaka nyumbani umenitumia aje akipa Kini hukunalika Wasa wanasema, nionyeshe, wacha kutificha Ni lakuni hambiaa Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba we unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Sho, Huku huku Huku huku, Huku Aish, Sho!