Nerea

Nerea 歌词

流派Rb
时长3:33
原文语言SW
浏览量606
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
nakuomba nerea, usitoe mimba yangu we mungu akileta mtoto, analeta sahani yake mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we mungu akileta mtoto, analeta sahani yake huenda akawa obama, atawale amerika huenda akawa lupita, oscar nazo akashinda huenda akawa wanyama, acheze soka uingereza huenda akawa kenyatta, mwanzilishi wa taifa nakuomba nerea, usitoe mimba yangu we mungu akileta mtoto, analeta sahani yake mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we mungu akileta mtoto, analeta sahani yake huenda akawa maathai, ayalinde mazingira huenda akawa makeba, nyimbo nzuri akatunga huenda akawa nyerere, aongoze tanzania huenda akawa mandela, mkombozi wa afrika nakuomba nerea, usitoe mimba yangu we mungu akileta mtoto, analeta sahani yake mlete nitamlea, usitoe mimba yangu we mungu akileta mtoto, analeta sahani yake nakuomba nerea, (nerea) nerea (nerea) usitoe mimba yangu nerea, nerea, nerea usitoe mimba yangu huenda akawa kagame (atawale) jaramogi odinga (tuungane) huenda akawa tom mboya huenda akawa rudisha huenda akawa malaika, mungu ametupatia huenda akawa sauti sol huenda akawa amos & josh huenda akawa huenda akawa malaika, mungu ametupatia