歌词坐标
SW原文歌词
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Jambo, Jambo bwana
Habari gani, Mzuri sana
Wageni, Wakaribishwa, Kenya yetu Hakuna Matata
Kenya nchi nzuri, Hakuna Matata
Nchi ya maajabu
Hakuna Matata
Nchi yenye amani, Hakuna Matata
Hakuna Matata, Hakuna Matata
Watu wote
Hakuna Matata, Wakaribishwa, Hakuna Matata
Hakuna Matata






