ZEZETA

ZEZETA 歌词

流派Pop
时长3:08
原文语言SW
浏览量350
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Baby mooh Nifanye Big G unitafune Ama niwe sindano Nawe uwe uzi nguo nifume Amaniwe ndoo Uwe maji yangu na wanune Nifanye kucha Kama ukiwashwa mi nikukune Sema mama Niweduka la vipodozi Nikuvutie kwa kila kitu Chumbani uwe simu Unalia hata nikiku beep Nisimame kama kinyozi Nikikunyoa unanisifu Niwe godoro na shuka Nilale na wewe kila usiku Shika funguo gari ya bosi wangu Kwako zezeta zezeta Niko radhi nifunge ule wewe Mimi zezeta zezeta Au unataka hata nyumba ya baba yangu Kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwewe Mimi zezeta zezeta Mama, sitaki paka na panya Vita za nini Mi nataka niwe mafuta Ujipakaze kote mwilini eeh Ama, niwe taulo kanga laini Ukioga ninakufata Kutoka juu mpaka kwa chini Maashallah Ulivyo mwenzako taabani Naeshimu chumba Siendi varandani Tena, sikufanyi vocha Soko dukani Nikutumbie mchumba Nikutupe jalalani Sema mama Niwe duka la vipodozi Nikuvutie kwa kila kitu Chumbani uwe simu Unalia hata niku-beep Nisimame kama kinyozi Nikikunyoa unanisifu Niwe godoro na shuka Nilale nawe kila usiku Shika funguo gari ya bosi wangu Kwako zezeta zezeta Niko radhi nifunge ule wewe Mimi zezeta zezeta Au unataka hata nyumba ya baba yangu Kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwewe Mimi zezeta zezeta Shika funguo gari ya bosi wangu Kwako zezeta zezeta Niko radhi nifunge ule wewe Mimi zezeta zezeta Au unataka hata nyumba ya baba yangu Kwako zezeta zezeta Kifaranga nibebe kama mwewe Mimi zezeta zezeta Mashilawadu wanyapia nyapia Mashilawadu wananyatia nyatia Mashilawadu wapate kutangazia Mashilawadu kuwa makini mama Mashilawadu wakudandia dandia Mashilawadu vya watu kupakazia Mashilawadu macho funika pazia Mashilawadu kuws makini mama eeh, eeh