Upo Nyonyo

Upo Nyonyo 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量6
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Shamba la babu, nalima Nivune muhogo na shina Ni weh tambarale mwa milima Kufika kilele lazima Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina muda wa kum chiti wala Eeh Nipo nyonyo, nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono, nipo fiti (Aah, nimejaa tele) aah nipo nyonyo, nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono, nipo fiti (Aah nimejaa tele) Sitaki chupa ya soda baby niletee energy Wajue upo na mimi watumie meseji ah Mi hoi lege lege nitupie kwa bedi Kabisa n'garagaze, mpaka ni dead Nilishathubutu kupenda nisipopendwa Lakini siachi, ooh siachi Msumali wenye kutu nilichomwa nkapata donda Lakini siachi, ooh siachi Nilikondeana nashukuru hivi sasa mashallah Mambo mwanana, nimesitirika hewalah Nimelipata bwana, lakunidekeza nalala Tumeridhiana sina muda wa kum chiti wala Eeh Nipo nyonyo, nipo titi (Aah nimejaaa tele) Nalishwa vinono nipo fiti (Aah, nimejaa tele) aah nipo nyonyo, nipo titi (Aah nimejaa tele) Nalishwa vinono, nipo fiti (Aah nimejaa tele)