Mupango Mwema

Mupango Mwema 歌词

原文语言SW
浏览量3
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Mawazo unayo kwangu Si mabaya hata niishi na woga na wasiwasi Hata nikiwa ndani ya jangwa Sihofu najuwa ninaye Baba Yanipasa tu nitulie Nisubiri mapenzi yako Yanipasa tu niketi Niuone ukuu wako (Bwana) najuwa una mupango mwema (Kwangu) najuwa una mupango mwema Hata milima iinuke Sitakuacha kamwe Hata ahadi zikawie Nitabaki nawe Hata dunia inyamaze Nitakuita Ywh Ingawaje mengi yakutisha Nakuona wewe Ulisema humuachi Yule ajaye kwako Ulisema mwenye haki Ataishi na imani kwako Ndiyo maana nakuita Bwana onekana Yanipasa tu nitulie Nisubiri mapenzi yako Yanipasa tu niketi Niuone ukuu wako (Bwana) najuwa una mupango mwema (Kwangu) najuwa una mupango mwema