Tulizana (feat. Njenje / Kilimanjaro Band)

Tulizana (feat. Njenje / Kilimanjaro Band) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量53
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Eeeh, mmmh, eeh Ana vidimple dimple Vishimo shimo mashavuni Mikononi vipiko piko Eti kipini kipo kitovuni Ya nini nibaki kiwiliwili Na kichwa changu ni wewe Iweje pendo kwao liwe pilipili Na twakula wenyewe Mungu kakuumba Mithili ya malaika yayaya Samaki wa kukunja Chumbani unanyumbulika yaya Kwa penzi usitie kibanzi Kitaniumiza ah Upendo ukawa kitanzi Nikajining'iniza Ikienda mrama irudishie (Popoa popoa dodo) Ikikwama kwama isukumie (Popoa popoa dodo) Tulizana Tulizana mpenzi tupendane Tulizana mpenzi tupendane Tulizana mpenzi tupendane Tulizana mpenzi tupendane Kama nyota na mwezi Vilo mwana na angani Tung'arishe penzi letu sote Tupeane penzi bila choyo chochote Na bila hiana kwetu sote Elewa mapenzi ni chombo Kinachotuunganisha Ni chombo kinachosafiri Kati ya mioyo yetu miwili ilofaidi Tulizana mpenzi tupendane Tulizana mpenzi tupendane Tulizana mpenzi tupendane Tulizana mpenzi tupendane Ikienda mrama irudishie (Popoa popoa dodo) Ikikwama kwama isukumie (Popoa popoa dodo)