歌词坐标
SW原文歌词
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Baby yeeiyee
Sama!
Uuh, uuh
Hitaji la moyo woo
Nifanye nini kwako ili ntimize
(Eh ehee, yeiyee, eh ehee)
Kwa penzi la uchoyo
Usijipe nafado nafsi ikupende
(Eh ehee, oh babe, eh ehee)
Kama umeishachoshwa nami nambie (eh, eh)
Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh, eh)
Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh, eh)
Kuofia ya leo yasinirudie (eh, eh)
Katu katu katu uuh
Katu katu katu ee
Katu katu katu
Penzi linikatue
Oh, baby penzi umelitia doa
Na kama ni jasba sa we inabidi kukosoa
Nashindwa roho kwahaya mateso
Nikilalawi itakuwa kamchezo
Ulidanganya kumbe hunipendi bwana
Kama umeishachoshwa nami nambie (eh, eh)
Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh, eh)
Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh, eh)
Kuofia ya leo yasinirudie (eh, eh)
Sikuamini tena