Inatosha

Inatosha 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量17
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Hata kama penzi maji masafi Niacheni ninanawa Maana yamenifika, yamenifika hapa Ingawa nitakonda Nimeridhia sawa Maana kila dakika, mi huwa kilioni Kukikucha macho juu Nakesha kulilia penzi Kama kina nauguza mama eeh, mama eeh Hapo shida sio heshima tu Hata wanamuingia wengi Mwenzenu kupenda kashakata tamaa eeh, tamaa eeh Ooh acha ikabaki ikawa historia Japo sio kiroho safi Ya nini kung'ang'ania biashara, tena yenye hasara Na wala sisemi nitakuchukia Japo moyo hautaki Ya nini kung'ang'Ana ng'ang'Ana Inatosha, inatosha Inatosha, inatosha Inatosha, inatosha Ni kwamba moyo mashine Nina imani nitapoa Hii hali siyo ya kudumu, nina imani nitapoa Ni kwamba tumeumbwa kusahau Nina imani nitasahau Hii hali siyo ya kudumu, nitakusahau Kama kukupinga si ilishindikana Sawa, sina chaguo Maana japo, itanisumbua sumbua Itani umbua umbua Mchanga kwenye kitumbua, tumbua Kwenye kitumbua, tumbua Ooh acha ikabaki ikawa historia Japo sio kiroho safi Ya nini kung'ang'ania biashara, tena yenye hasara Na wala sisemi nitakuchukia Japo moyo hautaki Ya nini kung'ang'Ana ng'ang'Ana Inatosha, acha nipambane na hali yangu Inatosha, aah mapenzi ya kupendwa, kushaka basi Inatosha, mmh utaniniua Inatosha, mmh utaniua, mwenzako mie inatosha