Mwambie

Mwambie 歌词

年份2022
流派Pop
原文语言SW
浏览量7
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Nimechoka kumeza mate, wenzangu wakila nyama Nachotamani anipakate Awe mitchele niwe Obama Siku hizi nimewa chizi Kila muda nafikiria Kile mi nitampatia aingie kwa box Anajifanya busy Hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie Ntaacha dawa na pombe ili afurahie Ntaenda Sunday kanisa Sadaka nimlipie Nitajifanya sofa aje anikalie (Aeaeaeaah) mwambie sitaki mwingine (Aeaeaeaah) ni yeye tuuu (Aeaeaeaah) nitampa chochote pengine (Aeaeaeaah) hata nimpeleke majuu Natamani niwe yake simu, anifinye kila saa Awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir Huwa nahisi wivu, rafiki wakimkumbatia Wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli Na nina maumivu, natamani kumuambia Ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli Mwambie ntafanya chochote ili anikubalie Ntaacha dawa na pombe ili afurahie Ntaenda Sunday kanisa Sadaka nimlipie Nitajifanya sofa aje anikalie (Aeaeaeaah) mwambie sitaki mwingine (Aeaeaeaah) ni yeye tuuu (Aeaeaeaah) nitampa chochote pengine (Aeaeaeaah) hata nimpeleke majuu