Natlan

Natlan 歌词

原文语言SW
浏览量87
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Shambulia! Beba silaha Pigana mpaka mwishowe Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote Rudi kwa pambaja ya dunia Hadithi yaendelea (kama moto) Heshima warithi vizazi (waka daima) Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia (Rudini) ndugu, (rudini) mashujaa Mara ya tena mwangani Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana) Ushujaa wenu ni imara (bila shaka) (Kumbukeni majina ya mashujaa) (Andameni uwanjani) Kwa jamaa (zuri, safi) nchi (sawa) na taifa Kwa (vuma) matumaini (raha) mbeleni (nguvu) malengo (Rudini tunawangojeni) Nyimbo kelele sana Sikiliza zitakuongoza nyumbani Hadithi yaendelea (ahh, ahh) Heshima warithi vizazi Ushujaa waangaza mbingu na ardhi Mara tena ashinda Natlan Milele tuwangoje, na tutawaimbia Rudini (ndugu) rudini (mashujaa) Mara ya tena mwangani Maisha marefu ni sasa