Hino do Quênia

Hino do Quênia 歌词

时长1:18
原文语言SW
浏览量6.3K
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Ee Mungu nguvu yetu Ilete baraka kwetu Haki iwe ngao na mlinzi Natukae na undugu Amani na uhuru Raha tupate na ustawi Amkeni ndugu zetu Tufanye zote bidii Nasi tujitoe kwa nguvu Nchi yetu ya Kenya Tunayoipenda Tuwe tayari kuilinda Natujenge taifa letu Ee, ndio wajibu wetu Kenya istahili heshima Tuungane mikono Pamoja kazini Kila siku tuwe na shukrani