Utukufu

Utukufu 歌词

时长12:43
原文语言SW
浏览量501
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Umekuwa Mwema kwangu Nashindwa kueleza (Ee Bwana eeh Bwana) Umekuwa Mwema kwangu Nashindwa kueleza (Ee Bwana eeh Bwana) Umekuwa Mwema kwangu Nashindwa kueleza (Ee Bwana eeh Bwana) Umekuwa Mwema kwangu Nashindwa kueleza (Ee Bwana eeh Bwana) Utukufu wote Baba (Tunakupa) (Utukufu wote Baba tunakupa) Utukufu wote Baba (Tunakupa) (Utukufu wote Baba tunakupa) Mamlaka yote Baba (Tunakupa) (Utukufu wote Baba tunakupa) Utukufu wote Baba (Tunakupa) (Utukufu wote Baba tunakupa) Umekuwa Mwema kwangu Nashindwa kueleza eh baba (Ee Bwana eh Bwana) Umepanua mipaka Natembea kwa Neema yako Baba (Ee Bwana eeh Bwana) Umepanua mipaka Natembea kwa Neema yako Mimi (Ee Bwana eeh Bwana) Umepanua mipaka Natembea kwa Neema yako Baba (Ee Bwana eeh Bwana) Eeeh na mikono nainua (Twainuwa) Utukufu wote Baba (Tunakupa) Na sauti twazipaza (Twainua) Utukufu wote Baba (Tunakupa) Na mikono nainua Kwako (Twainua) Utukufu wote Baba (Tunakupa) Utukufu Utukufu Utukufu Utukufu (Tunakupa) Utukufu wote Baba (Tunakupa)