Nimpende Nani

Nimpende Nani 歌词

原文语言SW
浏览量114
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Cha ah Nimpende nani? Nimpende eeh Nimpende nani? Nimpende aah Nimpende nani? Nimpende eeh Nimpende nani? Nimpende aah Tai We nilikuwaga na mupenzi akanizingua Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua Isije siku miezi, naye akanisumbua Ikawa tena kitenzi, mzigo kutua Naogopa sana vichanga wa sasa Kwenye mapenzi wasije wakanitenda Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli Wakanicha wakaenda We si unajua Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaa Wazuri ni wengi lakini kumpate Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? Cha ah Nimpende nani? Nimpende eeh Nimpende nani? Nimpende aah Nimpende nani? Nimpende eeh Nimpende nani? Nimpende aah Yasiwe kama ya Wema Sepetu Kila siku magazeti Ajue nidhamu na mila ya kwetu Mjuzi kupeti-peti Usimtake ka 'Uwoya nimteme Ana hasira Mpola kama Jokate Ila sauti ka' Wema akiwa analia Kicheko kama cha fetty Naogopa sana vichanga wa sasa Kwenye mapenzi wasije wakanitenda Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli Wakanicha wakaenda We si unajua Wazuri ni wengi lakini kumpata Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaa Wazuri ni wengi lakini kumpate Mwenye mapenzi ya ukweli ndio bala Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? Cha ah Nimpende nani? Nimpende eeh (eh, eh, eh) Nimpende nani? Nimpende aah (oh nimpende nani?) Nimpende nani? (Mama ma) Nimpende eeh (eh, eh, eh) Nimpende nani? Nimpende aah (mi nimpende nani?) We nilikuwaga na mupenzi akanizingua Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua We nilikuwaga na mupenzi akanizingua Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua