Simuachi

Simuachi 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量37
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Eyoo Kenny Kuhusu malaya kwangu nishazoea Kuhusu mbaya sijali I don't care Ananipa vyote ndoma namng'ang'ania Nampenda sisikii kwake nshajifia Ukinletea taarifaa za mpenzi wangu nletee na mpenzi mpyaa Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea waakooo Ukinletea taarifa za mpenzii wangu nletee Na mpenz mpya sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wako Me mwenzako kwanzaa napenda mapenzi cha pili kuishi single siiwezii Aya Sio kwamba siwezii kumuachaa tatizoo namuacha anaendaa waapii? Sio kwamba hakuna wanaonitaakaa aah Tatizoo kwenye moyo nshampa nafasii Me siwezii (me siweezi) siwezii Penzi la kugombaniaa Mwenzako nina mmjoa mpeenzi Ndo ambae akili anaisumbuuaa Aya Ukinletea taarifa za mpenzi wangu nletee na mpenz mpya Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wakoo Ukinletea taarifaa za mpenz wanguu nletee na mpenzii Sina mda wa kuwa single sababu umbeea wakoo Aya Aah sio kwamba kwa ubaya ila penzi limeninogea Na wala sikukatazii me kuniletea umbea Ila ukija uje na umbea mpyaa Ukileta wa zamani nitakusuta wee-wee Aah Kuhusu malaya kwangu nishazoea Kuhusu mbaya sijar I don't care Ananipa vyoote ndoma namng'ang'ania Nampenda sisikii kwake nishaajifia Ukinletea taarifaa za mpenz wang nletee na mpenz mpya Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wakoo Me mwenzakoo kwanzaa napenda mapenzi cha pili kuishii single siwezii Aya