Warira

Warira 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量3
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Tatizo kina lake Halin’ kanki mdomoni Taswira ya sura yake Hain’toki kichwani Mapenzi na raha zake Nazi-miss jamani Matashititi mahaba yake Aninyila raha ndotoni Kama shida pombe Niko tayari kuacha Aje tuyamalize Si sawa mi kuniacha Kama shida pombe Sigara naacha Aje tuyamalize Si sawa mi kuniacha Funika kombe mwana haramu apite Kosa gani kubwa lisisameheke Niambie basi japo nijirekebishe Hii hali inatesa nitakuja nife Kama shida pombe Niko tayari kuacha Aje tuyamalize Si sawa mi kuniacha Kama shida pombe Sigara naacha Aje tuyamalize Si sawa mi kuniacha