Fanya (feat. Danny Gift)

Fanya (feat. Danny Gift) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量2
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Aah Danny Gift mara tena Na Bahati tena, tena Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya eeh Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya Nina madeni hadi kwa mama mboga Nina madeni haki leo katanuka Vile naona, kashaanza kunuka Usiposhuka, baba leo katanuka (fanya) Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga Hebu sifika kwa hii ngoma Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga Hebu sifika kwa hii ngoma Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga Ebu sifika kwa hii ngoma Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya eeh Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya Nikikuona ata shida zitaona Nikikuona na vipofu wataona Nikikuona ata shida zitaona Nikikuona na wagonjwa watapona Baba fanya (fanya) Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga Ebu sifika kwa hii ngoma Natumia storo, bonga Kusema vile we ni donga Na beat vile inagonga Ebu sifika kwa hii ngoma Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya eeh Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya Najua leo utafanya (fanya) Kuliko ulivyo fanya jana (fanya) Fanya fanya Fanya fanya