Diana

Diana 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量3
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
EMB Records Niko vitani na moyo, baby Zaidi ya yote kumbuka jana Unasonga, mi nasonga Moyo unakataa (mh aah) Kinachonitia wasi wasi Ni cha kuwaambia kanisani Na sijafeli, nina imani moyoni Ulivyobeba virago vyako Kanisahau mie Na ukambeba mwanangu Amwite nani dady Diana (Diana) Diana (Diana, Diana) Wangu Diana, eh (Diana, Diana) Nisikize Diana, eh (Diana, Diana) Ina maana huoni uchungu napitiaa Naikimbia shida nilikotoka unajuaa Naogopa, naogopa Honey, naogopa Ninavyo umia bidii kwa kazi Mbona unaondoka? Nakupenda sana Nishawaambia mashabiki na baba Akulinde sana Baado nakusubire Ulivyobeba virago vyako Kanisahau mie Na ukambeba mwanangu Amwite nani dady Diana (Diana) Diana (Diana, Diana) Wangu Diana, eh (Diana, Diana) Nisikize Diana, eh (Diana, Diana) Ina maana huoni uchungu napitiaa Naikimbia shida nilikotoka unajuaa Diana (Diana) Diana (Diana) Diana, Diana Diana, Diana Shallzbaro Ulivyobeba virago vyako Kanisahau mie Na ukambeba mwanangu Amwite nani dady