Chibonge (feat. Marioo, Hanstone & Byter Beast)

Chibonge (feat. Marioo, Hanstone & Byter Beast) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量19
歌词坐标

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
18
Kama kupenda maradhi, niko hoi taabani Na kama kutangaza nakupenda kosa, nifungwe Kama kupenda upofu, mi sioni na sisikii Ndo maana natangaza nakupenda Moyo wangu usiangamie Sichepuki makona kona Na upona niugue Ukifika mi napona pona Na rangi yako ya black me nakuona white We kifupi nyundo, nakuonaga mnara Anapo ona dawa, mwepesi Mmh aah japo chii chii, chibonge Aah chi chi chi chibonge Chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge Aah minyama tu Akipita minyama Anatingisha minyama tu Vile akipita minyama Aah minyama tu Akipita minyama Anatingisha minyama tu Vile akipita minyama, minyama Shepu ya mabonde mabonde, nimeridhia Nitakumiliki usikonde, ata nikifulia Ooh beiby unashoza ng'ombe, mbuzi wanakimbia Na uwasha mhogo wa jang'ombe leta sufuria Beiby usijipe stress, wewe kibonge mwepesi Waruka mpaka sarakasi, samba kareti Unajua eeh Hips kiuno shangao za machaini chaini (beiby you like the) Nyembamba kiuno chako feni (gyal gyal) Mmh aah japo chii chii, chibonge Aah chi chi chi chibonge Chi chi chibonge Aah chi chi chi chibonge Aah minyama tu Akipita minyama Anatingisha minyama tu Vile akipita minyama (minyama) Mwenzako mi napendaga vibaya, baya baya Mwenzako mi nina ugonjwa wa moyo, moyo moyo Mwenzako mi napendaga vibaya Mwenzako mi nina ugonjwa wa moyo