Tunagombana

Tunagombana کے بول

اصل زبانSW
مناظر1
گیت کے بول کے نقاط

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
18
Rafiki yangu je Unajua kwa nini tunagombana? Chakula taslimu silaha kwa mkopo Chakula taslimu silaha kwa mkopo Kwa nini kwa nini Kwa nini kwa nini Tunagombana Rafiki yangu, rafiki yangu je Unajua kwa nini tunagombana? Jana tuligombana, leo tunagombana Jana tuligombana, leo tunagombana Rafiki yangu je Unajua kwa nini tunagombana? Chakula taslimu silaha kwa mkopo Chakula taslimu silaha kwa mkopo Kwa nini kwa nini Kwa nini kwa nini Tunagombana