Katu Katu

Katu Katu کے بول

صنفPop
اصل زبانSW
مناظر8
گیت کے بول کے نقاط

اصل بول

SW
ترجمہ ابھی دستیاب نہیں۔ اصل بول دکھائے جا رہے ہیں۔
18
Baby yeeiyee Sama! Uuh, uuh Hitaji la moyo woo Nifanye nini kwako ili ntimize (Eh ehee, yeiyee, eh ehee) Kwa penzi la uchoyo Usijipe nafado nafsi ikupende (Eh ehee, oh babe, eh ehee) Kama umeishachoshwa nami nambie (eh, eh) Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh, eh) Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh, eh) Kuofia ya leo yasinirudie (eh, eh) Katu katu katu uuh Katu katu katu ee Katu katu katu Penzi linikatue Oh, baby penzi umelitia doa Na kama ni jasba sa we inabidi kukosoa Nashindwa roho kwahaya mateso Nikilalawi itakuwa kamchezo Ulidanganya kumbe hunipendi bwana Kama umeishachoshwa nami nambie (eh, eh) Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh, eh) Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh, eh) Kuofia ya leo yasinirudie (eh, eh) Sikuamini tena Katu katu katu uuh Katu katu katu ee Katu katu katu Penzi linikatue Kama umeishachoshwa nami nambie (eh, eh) Kuliko kunifanya mapenzi ni chukie (eh, eh) Nisipende mwingine mapenzi nijutie (eh, eh) Kuofia ya leo yasinirudie (eh, eh) Sikuamini tena Katu katu katu uuh Katu katu katu ee Katu katu katu Penzi linikatue