Arenarena

Arenarena şarkı sözleri

TürPop
Orijinal dilSW
Görüntülenme4
Şarkı sözü koordinatları

Orijinal sözler

SW
Çeviri henüz yok. Orijinal sözler gösteriliyor.
18
Yammi yammi Nilikuona nikiona kwa baba na mama Sio kwa umri huu Nilikuwa nikiyatazama Kwenye TV tu Kama Alkaida (kaida) Mahaba so kawaida Nna kila sababu Nitangaze mumwone Moyo kauiba (kaiba) Anapanga yeye ratiba Bure mnajipa tabu Kununa nuna msonone Jahazi pe Jahazi pepea Wape salamu vyote visiwa Nimetah tah, nimetwaliwa Na mambo matamu, asali na maziwa Na nimetekwa, kutoka siwezi toka Aah, nimeshikika kama pesa mapesa Na nimetekwa, kutoka siwezi toka Aah, nimeshikika kama pesa mapesa Eti nimwache, nimuachie nani (arenarena) Simwachi abadani (arenarena) Eti nimwache, nimuachie jirani (arenarena) Simwachi abadani (arenarena) Na hili joto, nkufute majosha ooh dia Usiishie kula kwa macho, ndani ingia Uguse kikupendezacho my dia Uniwaze ulalapo ukisinzia Jahazi pe Jahazi pepea Wape salamu vyote visiwa Nimetah tah, nimetwaliwa Na mambo matamu, asali na maziwa Na nimetekwa, kutoka siwezi toka Aah, nimeshikika kama pesa mapesa Na nimetekwa, kutoka siwezi toka Aah, nimeshikika kama pesa mapesa Eti nimwache, nimuachie nani (arenarena) Simwachi abadani (arenarena) Eti nimwache, nimuachie jirani (arenarena) Simwachi abadani (arenarena)