Flavour

Flavour şarkı sözleri

Orijinal dilSW
Görüntülenme7
Şarkı sözü koordinatları

Orijinal sözler

SW
Çeviri henüz yok. Orijinal sözler gösteriliyor.
18
Oh-oh-oh-oh Nagutuka nkikumbuka Jinsi unavyonipenda mimi-i-i-i-i Ooh baby-i-i-i-i Na kinywa changu chapanuka Kwa jinsi navyokupenda mimi-i-i-i-i Oh, baby I-i-i-i Naogopa hata kuliwaza wazo Ningelikuwa wapi kama nisingelikutana na weh Nisingelipatana na weh Naogopa hata kuliwaza wazo Ningelikuwa na nani kama nisingelikuwa na weh Nisingelipatana na weh Nimejaa jaa jaa Na raha, raha, raha You're so perfect You're so worthy Nimejaa jaa jaa Na raha, raha, raha You're so perfect You're so worthy Baby, baby, you're my flavour! (Flavour) Takupenda maisha yangu yote yaani forever! Nikufuate utakakoenda yaani wherever! Wasifaulu wakututenganisha yaani never! Ever and ever! Oh-oh-oh-oh Kama ua, napapatua Jinsi ulivyoteka mimi-i-i-i-i Ooh baby-i-i-i-i Weh ndio taa kwenye kiza Jinsi unavyoni-beba mimi-i-i-i-i Ooh baby-i-i-i-i Naogopa hata kuliwaza wazo Ningelikuwa wapi kama nisingelikutana na weh Nisingelipatana na weh Naogopa hata kuliwaza wazo Ningelikuwa na nani kama nisingelikuwa na weh Nisingelipatana na weh Nimejaa jaa jaa Na raha, raha, raha You're so perfect You're so worthy Nimejaa jaa jaa Na raha, raha, raha You're so perfect You're so worthy Baby, baby, you're my flavour! (Flavour) Takupenda maisha