Nina Siri

Nina Siri şarkı sözleri

Orijinal dilSW
Görüntülenme369
Şarkı sözü koordinatları

Orijinal sözler

SW
Çeviri henüz yok. Orijinal sözler gösteriliyor.
18
Nina siri naye Yesu Yanifanya niwe jasiri Kwa amani nayo dhiki Yanifanya niwe jasiri Yaniburudisha, nikirukaruka Hosana, Amen Yaniburudisha, nikirukaruka Nikiimba Hosana, Amen Nina siiri Nina siri naye Yesu (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen Nina siri naye Yesu Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Waambie wanaolia Wakiteswa na malimwengu Waonjeni neema yake Na rehema yake Mwokozi Watafunguliwa, watawekwa huru Hosana, Amen Watafunguliwa, watawekwa huru Hosana, Amen Waambie wanaolia Wakiteswa na malimwengu Waonjeni neema yake Na rehema yake Mwokozi Watafunguliwa, watawekwa huru Hosana, Amen Watafunguliwa, watawekwa huru Wataimba Hosana, Amen Nina siiri Nina siri naye Yesu Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu (Mwokozi wangu) Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu (Hallelujah) Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu (Hallelujah) Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu (Hallelujah) Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Nina siri naye Yesu Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Nikiimba Hosana, Amen Yaniburudisha, nikirukaruka Hosana, Amen Nikirukaruka Hosana, Amen (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka Hosana, Amen Nina siri naye Yesu (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Kwa amani) Kwa amani (nayo shida) nayo dhiki (Yanifanya) Yanifanya niwe jasiri (Yaniburudisha) Yaniburudisha, (nikiruka) nikirukaruka (Hosana) Hosana, Amen Hallelujah! Nikirukaruka Hosana, Amen Hallelujah!
Israel Mbonyi sanatçısından daha fazla

Israel Mbonyi sanatçısından daha fazla

Israel Mbonyi →