Niokoe

Текст песни Niokoe

ЖанрWorld Music
Язык оригиналаSW
Просмотры5
Координаты текста

Оригинальный текст

SW
Перевод пока недоступен. Показан оригинальный текст.
18
He yeah, yee Ooh Machozi atiririka, moyo ababaika Mawazo yamenijaa (Hali jani hii, hali jani hii) Mwili anitetema, magu yamezisima Wogo umenijaa (Hali jani hii, hali jani hii) Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke) Palipo (pema) Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke) Palipo (pema) Nidhania Moyu wangu (ah, ah) Mukuita (aah ah) Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe Wazazi wamenipia, kaniacha mi achima Shida zimenijaa (Hali jani hii, hali jani hii) Magonjwa yameenea, na mi kanilemea Kifoka nizungukaa (Hali jani hii, hali jani hii) Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke) Palipo (pema) Nioko (nioko), nipeleke (nipeleke) Palipo (pema) Nidhania Moyu wangu (ah, ah) Mukuita (aah ah) Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe No, I did not plan my misery No, I didn't foresee my destiny So I (so I) am asking you to help me Nidhania Moyu wangu (ah, ah) Mukuita (aah ah) Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe Nidhania Moyu wangu (ah, ah) Kwa kuita (aah ah) Uniokoe, uniokoe, uniokoe, unikoe