Mwambie Sina (feat. Abdukiba, Cheed & Killy)

Текст песни Mwambie Sina (feat. Abdukiba, Cheed & Killy)

ЖанрPop
Язык оригиналаSW
Просмотры9
Координаты текста

Оригинальный текст

SW
Перевод пока недоступен. Показан оригинальный текст.
18
Nafsi inalalama sina mwambiee Kila akinitazama kwa kina kiukweli Mwambiee silali tena ananipa tabuu Kwake me sina halii ninampenda yeye tuu Oohoo, sinaa aah Sinaa aah Sina mwambie Yeh ndo dawa ya (dawaa) Sinaa (dawaa) Sinaa aah Sina mwambie ooho Mwambie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwanbie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Mwanbie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama nyumba me nimpatie iye yeh (me nitambue) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Nenda umwambie mimi sina ooh Wakumpa siri zangu anitunzi moyo Tena umwambie mimi nipo hoi Me nampenda haiyo iyo iyooh Nimependa heshima Atulie nimueke ndani Kanichapa usindwa Kanifunga ndomo siachani Kuona napata shida Moyo wayoyoma Mammy yoyoo mammy yoyoo (wa kutamba naye) Mwambie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Ona me nakosa rahaa Amani sina Sinaa nachotaka Wewe ndo wa pekee Skendo nitende vipi Wabongo wamtangaze Wanasema unadanga Kwangu ni danga chee Yaani nikope pe chee chee Alo aloloo kama madebee Madebe madebe madebee Kama madebe madebe Madebe madebe Badarii mimi nawee Badarii badarii ooh Badari badarii mimi nawee Badarii tutaonana Mwambie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kutamba naye (sina mie) Mwambie sinaa Wa kuringa naye (sina mie) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Kama gari me nimpatie iyeh yeh (nijue) Kama njumba me nimpatie iyeh yeh (me nitambue) Mwambie sinaa Wa kutamba naye Mwambie sina Wa kuringa naye Mwambie sinaa Wa kutamba naye Mwambie sina Wa kuringa naye Kama gari me nimpatie iye iee Kama njumba me nimpatie yee iee Kama gari me nimpatie iye iee Kama njumba me nimpatie yee iee Kama gari me nimpatie iye iee Kama njumba me nimpatie yee iee Wa katamba nayee