Mapendo

Letra de Mapendo

GêneroPop
Idioma originalSW
Visualizações2
Coordenadas da letra

Letra original

SW
A tradução ainda não está disponível. Exibindo a letra original.
18
Mapenzi mapenzi ni kiza Washa taa tuone Nyoyo zinavyong'ara ng'ara Mupenzi mapenzi ni tiba Nipe yaniponye Kwa raha nala nalala Nyoyo zinameremeta yaani twapendana sisi Kulumana lumana kutandikana makissi Twatekenyana twatambiana hadithi Hubby wangu boriti we zidi kukaza nati Nina maa, mapendo Mapendo, mapendo Nina maa, mapendo Mapendo, mapendo Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe Aah, tunapendana sana Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe Aah, tunapendana baba Aah, aah, eeh eeh Mepenzi ya kupimiana sitaki Kwenye kibaba si haki ooh Nipe yote ulowekeza kweny mtima Vinyama nyama sitaki Vya mishikaki oooh Halitoshi hata paja We nipe tu mwili mzima Unipepete pepete kama kiberenge Unibemende bemende hata nisitembee eeh Unipapase kongote rungu la madenge eeh Nikupe mgongo upande na popote twendee Nina maa, mapendo Mapendo, mapendo Nina maa, mapendo Mapendo, mapendo Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe Aah, tunapendana sana Aah, chini ya jua tuko mimi na wewe Aah, tunapendana baba